Habari!
Kwa mtu aliemfatilia Jamaa Kwa hizi games zote alizocheza Kwa playing style ya Simba na anavyocheza yeye hafai kabisa na soon mtakuja kukubaliana na Mimi.
Ni Mzito Balaa na anachoka
Lionel Ateba Hana pumzi 30 Minutes ashachoka anahema Kwa shida anaanguka ovyo kama Rasmus Hojlund wa...