Habari wanajamvi?
Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...