Ni muhimu sana kua karibu na mwenzi wako mkizungumza na kubadilishana mawazo, kwa karibu sana tena kwa kujiamini sana.
Ni muhimu sana muonekano wenu, uwe wa kupendeza na kuvutia ninyi wenyewe na hata kuvutia wengine, lakini ni jambo la maana zaidi, muonekano wenu wa njee uambatane na usafi...