lishangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tamaa ya kutaka Mwanamke aliyenizidi umri ilivyonitokea puani

    Nimeiba namba za lishangazi zikaja kunitia aibu. Mama mmoja kwa jina la Ms mwakalebela alimuelewa rafiki yangu Edga, huyu rafiki yangu alikua anauza duka moja maeneo ya Salasala ambako huyu mama ndio anakoishi. Edga alikabidhiwa duka na boss mmoja kwa jina Atalu, huyu jamaa hakua wale maboss...
  2. Nipo kwenye mahusiano na Mama Mtu mzima, anaruhusu mabinti zake wanasoma chat zetu za ujinga

    Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika. Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za...
  3. Lile lishangazi lilinifanya nijiingize kwenye umarioo, sitasahau

    Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu. Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege masikio yenu msikie habari hii ya aibu niliyoifanya wala sikutegemea kuwa siku moja nitafanya haya. Lakini ndivyo nilivyotumbukia katika shimo...
  4. Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

    Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃 ●lazima awe na Bubbly Ass🍑 ○ kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…