Julai Mosi mwaka huu, mradi wa “maharagwe madogo, lishe bora” uliotekelezwa na timu ya utafiti wa maendeleo ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha China ulikamilisha mafunzo katika vijiji vinne vya kielelezo ambavyo ni Mtego wa Simba, Makuyu, Kitete na Peapea mkoani Morogoro.
Miezi ya Juni na Julai kila...