Naona kila mtu kapaniki, watu mlikuwa na matokeo yenu mkononi nini?
Fanyeni siasa, si huwa mnajisifu mnakubalika na raia sasa wasiwasi wa nini!!!
Iwekwe tume huru pale watu tupige kura.
Watu walikuwa wanafanya upinzani kama mtaji tu. Tushachoka maigizo yenu.
Hakuna nchi iliyowekeza kwenye...
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.
Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za...
Wakuu
Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa.
Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.