lissu ashinda chadema

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency from 2010 to 2020.
He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma Kasanzu na Hafidh Saleh), asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais wala mtu kutoka CCM. Soma...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu asifu uadilifu wa John Mnyika, namna alivyoendesha Uchaguzi na kumteua tena kama Katibu Mkuu CHADEMA

    Mwenyekiti mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza uadilifu wa John Mnyika na namna ambavyo aliendesha Uchaguzi wa ndani ya Chama. Soma, Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Odero amesema ile kura moja aliyoipata ni ya mpiga kura, hata yeye hakujipigia Kura Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mwanachama na aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA, Odero Charles Odero amesema ile kura moja aliyoipata katika uchaguzi huo ni ya mpiga kura sio yake. Kwa maana hiyo hata yeye mwenyewe alishindwa kujipigia kura Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  5. The Watchman

    Pre GE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe awa motivation speaker baada ya kuangukia pua Uchaguzi CHADEMA, aibuka na ujumbe wa kiroho

    Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Madaraka Nyerere aeleza maoni ya Mama Maria Nyerere kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA, asema uchaguzi umeenda vizuri

    Wakuu Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliomalizika hivi karibuni na Tundu Lissu kuibuka mshindi wa Uenyekiti...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA. "Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 ACT Wazalendo yampongeza Tundu Lissu kwa Ushindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
Back
Top Bottom