Chama cha Demokrasia na Maendelea kimefanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Chama Taifa, licha ya chaguzi zingine kufanyika ndani ya Chama ila mafahari hawa wawili walitikisa anga la Siasa ndani na nje ya Tanzania kutokana na uswawishi wao mkubwa Kisiasa.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
Askofu Benson Bagonza anaandika...
"Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama mmeshinda lakini sina pa kukata rufaa. Mwaka huu nina bahati sana. Makamu wote wa vyama vikubwa ni watani...
Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa.
Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.