Wasiwasi ndio akili. Chadema leo wamekuja hadharani na kutamka kwamba Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao. Chadema wanasema Lissu lazima awe chini ya mtu Yaani mwenyekiti.
Kwa mazingira haya, nani ampigie kura kumkabidhi urais? Wanaoishi naye wanasema hafai kabisa kuwa kiongozi mkuu, sisi...