Tundu Lissu akihutubia katika mkutano wa hadhara jimbo la Singida Magharibi amedai kuwa wanasiasa wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha pesa.
“Tunatakiwa tujiulize viongozi wetu wakuu wanamiliki timu za mpira akiwemo Mbunge wenu Mwigulu Nchemba, tunatakiwa tujiulize kuna nini kwenye mpira...