lissu kuhama chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Pre GE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
  2. S

    Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe CHADEMA au ACT-Wazalendo, ahamie CCM tu

    Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu. Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina...
Back
Top Bottom