Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.
Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu. Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina...