Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.
Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo...