Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Serikali ya kikoloni ilipata upinzani wa kweli kutoka kwa watanzania wazalendo.
Baada ya uhuru serika ya Taa, Tanu na badae ccm hawakuwa na mpinzani wa kweli. Miaka ya 1980s'Dunia ilikuwa chini ya mfumo wa kibepari.
Hivyo demokrasia ndio ulikuwa...
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
Wakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe...
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...