Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni uonevu.
"Hivi inawezekanaje kwa serikali hii, na mapolisi wake na waendesha mashtaka wake kumweka...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.