Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi...
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.