Kuelekea uchaguzi wa 2025, Oktoba, tujadiliane kuhusu uchaguzi huu.
Wadau habari,
Tushirikishe mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi huu, ikiwa ni pamoja na masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, na kimataifa. Tunahitaji kuelewa ni changamoto gani zinazoweza kuibuka, ni sera zipi zitajadiliwa na...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
chama tawala
lissulissu 2025
lissuvssamia
mbio za uchaguzi
prof. anna tibaijuka
samiasamia 2025
samia suluhu
samia suluhu hassan
siasa tanzania
suluhu
tundu
tundu lissu
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais 2025
vyama vya upinzani
Wakuu
Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa.
Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
Wakuu
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.