lissu vs samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lissu vs Samia Suluhu Hassan.

    Kuelekea uchaguzi wa 2025, Oktoba, tujadiliane kuhusu uchaguzi huu. Wadau habari, Tushirikishe mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi huu, ikiwa ni pamoja na masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, na kimataifa. Tunahitaji kuelewa ni changamoto gani zinazoweza kuibuka, ni sera zipi zitajadiliwa na...
  2. Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  3. Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

    Wakuu Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa. Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi...
  4. Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

    Wakuu Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…