live streaming

  1. Pasta Joshua

    DStv will die the same death as Nokia

    DSTV will die the same death as Nokia, Compaq, Kodak, and GM if they fail to change with changing times. More users are opting to streaming live matches as internet connectivity becomes faster, more affordable, and accessible. They have refused to lower their prices and innovate.
  2. kipara feki

    Camera nzuri kwa ajili ya live streaming

    Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa Reuben Challe
  3. BARD AI

    META yapigwa faini Tsh. Milioni 406.9 kwa kuiba huduma ya 'Live Streaming'

    Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la kurekebisha matatizo ya mawasiliano ya kivita. Meta walituhumiwa kutumia huduma hiyo kwenye Instagram na...
  4. C

    INAUZWA Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc

    Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc New condenser microphone Noise/ echo cancellation YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc Just plug & play OFFER: 99,000 /- COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions. Call: +255 658 700 510
  5. Adolfms

    Live streaming

    Naomba anayejua app nzuri ambayo naweza install then nikaangalia mpira live especially UCL
  6. guru_observer

    Live streaming bora kwa channel za Tanzania

    Kwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania. Ipate kutoka Google Play Store hapa Pure Entertainment - Apps on Google Play Kupata channel za nyumbani...
  7. isajorsergio

    Instagram yaanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu

    Rasmi: Instagram imeanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu. Kupitia live rooms utaweza kuendesha tukio mubashara huku ukiongeza watu zaidi, jumla ya watu wanne wataweza kuonekana kwa wakati mmoja. Unaweza kuanza na mmoja au zaidi au kubadili wakati ukiwa hewani (Host + 1 or 2...
  8. R

    Kuna sheria yoyote nikitaka kufanya live streaming kwenye Facebook?

    Habari wakuu. Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa Youtube? Ahsanteni.
Back
Top Bottom