livingston lusinde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  2. Sir robby

    Kigwangalla na Lusinde mnahoji uanachama wa Dkt. Bashiru, mbona hamkuhoji alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    CCM oyee! Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF. Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
  3. I am Groot

    Livingston Lusinde: Bashiru Ally alipaswa kuwa chawa mkuu sababu Ubunge wake unatoka Ikulu

    "Kwenye dini tunafundishwa kushukuru. Yeye (Dkt Bashiru Ally) alipaswa kuwa chawa mkuu sababu Ubunge wake unatoka Ikulu (kuteuliwa). Mtu ambaye ugali wake unatokana na Ikulu, anakerekage Ikulu kusifiwa. Kama anakereka ... basi apishe." - Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde
  4. Cannabis

    Mbunge Livingstone Lusinde amtaka Spika Ndugai ajiuzulu, asema hata ombi lake la msamaha lilikuwa la uongo

    Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema...
  5. figganigga

    Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

    Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi: 1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
  6. Miss Zomboko

    Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
Back
Top Bottom