Ukiwa unaangalia series za kikorea za kihistoria kama JUMONG, SIX FLYING DRAGONS, EMPRESS KI au MR SUNSHINE kuna zile location za zamani ambazo huwa zinatumika.
Kuanzia kwenye jumba la kifalme (Palace), sokoni au kwenye makazi ya kawaida ya watu sehemu zote zinakuwa ni za kizamani kwenye enzi...