Hatimaye gwiji wa kitambo mpiga gitaa wa rythm Lokasa Ya Mbongo kazikwa kwao Congo jumamosi baada ya kuishi muda mrefu akiwa amefariki kule Marekani hebu kumbuka ngoma yake moja mimi namvulia kofia na nyimbo yake ya Monica iliyovuma miaka ya 80s mwanzo.
Rip Lokasa Ya Mbongo
Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.