lokasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya maiti yake kukaa miezi tisa, hatimaye mwili wa Lokasa ya Mbongo wazikwa.

    Hatimaye gwiji wa kitambo mpiga gitaa wa rythm Lokasa Ya Mbongo kazikwa kwao Congo jumamosi baada ya kuishi muda mrefu akiwa amefariki kule Marekani hebu kumbuka ngoma yake moja mimi namvulia kofia na nyimbo yake ya Monica iliyovuma miaka ya 80s mwanzo. Rip Lokasa Ya Mbongo
  2. TANZIA Mpiga Gitaa maarufu, Lokassa ya Mbongo afariki dunia

    Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…