longido

Longido is a small town and ward in Arusha Region in Tanzania. It is the administrative seat for Longido District. Most of the inhabitants are Maasai, but there are other East African tribes as well.
Longido is at the foot of Mount Longido, which can be climbed in one and a half days.
Longido includes some basic accommodation (guest houses), restaurants, bars, and general stores. There is also a police station there, several churches, and a primary and secondary school. Electricity in the town is by national electricity grid.

View More On Wikipedia.org
  1. Longido Arusha: Shirika la World Wildlife Fund (WWF) lapeleka miradi ya unenepeshaji mbuzi vijiji 4 kulinda uhifadhi

    SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya unenepeshaji wa mbuzi, ili kuwasaidia wananchi hao kuwa na kipato mbadala,kitakachowasukuma kuachana na...
  2. S

    Ushauri: CHADEMA, mtunukieni cheti cha kusema ukwell aliekuwa DC wa Longido kuhusu chaguzi zetu za serikali za mitaa

    Aliekuwa DC.wa wilaya ya Longido miezi kadhaa iliyopita, aliweka wazi kuhusu hujuma zinazofanywa kwenye chaguzi zetu na alilenga kilichotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019. Japo tulimshambulia sana,ila alichosema kilikuwa ni kweli na teyari tumeanza kuona mwelekeo wa nini...
  3. Kijiji cha Oltepes Longido kina maji, hakuna anayetumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha akiwa hedhini

    "TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA" Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
  4. L

    Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  5. Pre GE2025 Polisi kushindwa kuchukua hatua dhidi ya aliyekuwa DC wa Longido, wanatupatia ujumbe gani?

    Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu kwa ujumla. Nchi hii kumekuwa na matukio ya kishetani kabisa, matukio ya kuteka, kutesa na kuua...
  6. Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  7. R

    Je, Waziri Mchengerwa atatumbuliwa kama alivyotumbuliwa DC wa Longido?

    Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM? Je, waziri atatumbuliwa? Nini madhara na faida ya tumbua tumbua? Waliotumbuliwa mishahara...
  8. Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi...
  9. Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

    Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa. Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020. Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia. Asante sana CCM, idumu...
  10. Wazo la Mwanzo ilikuwa wamasai wa Ngorongoro wapelekwe Wilaya ya Longido, kwa nini ilibadilishwa na kupelekwa Handeni?

    Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao. Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa...
  11. Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

    Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
  12. Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  13. A

    KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  14. G

    Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

    Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana. Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
  15. J

    Pre GE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
  16. U

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha aanza ziara ya siku tatu wilayani Longido

    Wadau hamjamboni nyote Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi. Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024. Viva Paul Makonda
  17. Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  18. Wananchi wa Longido Wafukuzwa kwenye vijiji vyao

    Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
  19. Catherine Magige Atoa Uwanja kwa UWT Wilaya ya Longido

    "Tupo kwenye harakati za kuhakikisha watumishi wetu, Makatibu wa UWT Wilaya, Jumuiya iwe inamiliki nyumba zake kila Wilaya ili Makatibu wetu wawe wanaishi katika mazingira mazuri na rafiki" - Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Nilichoamua kwa Longido niliona changamoto...
  20. Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…