Wakuu
Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mombasa, Ukonga, ambapo lori la mkaa kama unavyoona kwenye picha limegonga gari dogo aina ya IST kwa nyuma.
Dereva wa gari aina ya IST aliposikia honi hizo na kuona lori likija kwa kasi, alijaribu kujinusuru kwa kuongeza mwendo, lakini...