Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.
Maeneo mengi katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara yanachangamoto ya upatikanaji wa Maji safi na hii...