Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk...
1. Los Angeles ni nyumbani kwa wakazi wengi zaidi wa Wenyeji wa Hawaii nje ya Hawaii, kutokana na uhamaji mwanzoni mwa karne ya 20.
2. Ishara ya Hollywood awali ilisomeka "Hollywoodland" na ilikusudiwa kukuza maendeleo ya makazi, sio tasnia ya filamu.
3. Hifadhi ya Griffith ya Los Angeles ni...
Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema hivyo kwasababu, mfano matokeo ya ajali ya moto huu moto wa msituni.
Huu ulitokea Los Angeles au...
Kutokana na moto unaoendelea kuweka huku miundombinu likiendelea kuharibika
Zipo taarifa kadhaa ikiwamo moto huo kuhusishwa na ugaid
Na kama itakuwa ndivyo basi marekan atakuwa amevuliwa nguo
Kwa siku ya Jana mshukiwa mmoja amekamatwa akiwa ni simu za mkononi Tano na kadi za bank...
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.
Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.
Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!
Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================
Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.