Farmers in the villages of Chemba and Kondoa districts have lost hope of any corn harvest this year resulting from extreme hot weather which is drying their fields.
Aziza Hussein, an over 60-year-old woman is among those affected by the weather as her one-acre farm in Sambwa village has been...
Hello
Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari
Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi
Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri
Baada...
Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto...
Maneno haya aliyazungumza aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, May 25th, 2013. Yeye hayupo, na kwa maana halisi huo muhimili wa Iran hapo mashariki ya kati ndio umevunjika! Yahya Sinwar alianzisha vita ambayo hakujua kabisa mwisho wake! Hakuna chochote cha maana walichokipata Iran...
Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla
Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa
After heavy fighting for Lysychansk, the defence forces of Ukraine were forced to withdraw from their occupied positions and lines,’ the army general staff said.
Earlier Moscow claimed it had taken control of the Luhansk region in its entirety.
If confirmed by Kyiv, the development would mark...
Nafikiri wengi wenu mnajua mfalme Constantine na kanisa Katoliki hawakuweka almost vitabu 14 wakati wana assemble Biblia, hii imetunyima mengi kujua kuhusu kwa mfano the book of Enoch, the book of Og lile jitu refu kabisa.
Cha kusikitisha ni kwamba wakati sisi hizo knowledge hatuna wao kwenye...
With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a low-power state and acts like an AirTag, allowing any nearby iOS device to pick up the Bluetooth...
Annex 3
LOST BOB MARLEY ALBUMS 1972-1980
Although it is an interesting field of study, how Bob Marley developed the songs while recording a couple of different demos with alternate vocals, there is a good argument for NOT releasing demos: Bob Marley decided not to publish these, but the released...
Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi.
Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani.
CCM si chama cha siasa...
These days people just loose the drive that makes them do the things they need to do,sometimes you see other people being successful and getting rich but remember its a different race and you will get to your bus stop if you keep trying.
These days you will always see distractions...
Habari wanajukwaa natumaini wote ni wazima wa afya. Poleni na mihangaiko ya shughuli za kujenga taifa.
Naenda direct to the topic. Majuzi niliweza kupoteza ATM card yangu ya Bank fulani hivi, ndipo nilipoenda bank nikaambiwa nikachukue loss report.
Nikaenda central police station nikaambiwa...
I was a fan of one of these Dar Es Salaam local Radio stations especially listening on my way to the office each morning, But of recent I found my self loosing test in all these redios, Am not sure if its the 100s of adverts aired or what.
Nowadays if am not in a mood to listen to music in my...
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack...
“They were conned out of billions of shillings in just twelve months.”
Hundreds of Ugandans woke up last week to a sad reality – they had been trapped in an exploitative scam by four Ugandans and four West Africans trading under the name Dunamiscoins Resources. Dunamiscoins Resources is...
Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.