A lotion is a low-viscosity topical preparation intended for application to the skin. By contrast, creams and gels have higher viscosity, typically due to lower water content. Lotions are applied to external skin with bare hands, a brush, a clean cloth, or cotton wool.
While a lotion may be used as a medicine delivery system, many lotions, especially hand lotions and body lotions and lotion for allergies are meant instead to simply smooth, moisturize, soften and, sometimes, perfume the skin.Some skincare products, such as sunscreen and moisturizer, may be available in multiple formats, such as lotions, gels, creams, or sprays.
Habari wanajf
By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu
Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze.
Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto...
Hey Guys! Mmeshindaje?
Nimenunua hii lotion leo, kwenye instructions naona imeandikwa “ smooth on hands and body as often as needed..”
Ina maana haifai kwa matumizi ya uso? Inaleta madhara endapo utatumia usoni?
Nipo hapa kuomba ushauri na maelezo zaidi kwa yoyote ambae ameshawahi kutumia...
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili.
Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Habari wakuu,
Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania.
Piga 0713 039875 Kwa maelewano zaidi
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?
Habari zenu warembo na watanashati wa jukwaa letu pendwa la urembo mutindo nk.
Kutokana na maombi mengi ya uko PM ya waungwana wenzangu kutaka kujua namna ya kutengeneza lotion nzuri za kuipa ngozi weupe nikaona sio mbaya kama nitaleta uzi wenye kuelezea namna ya utengenezaji lotion yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.