lowasa

  1. Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  2. Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  3. N

    Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  4. T

    Msiba wa Lowassa: Ney wa Mitego imekuaje hajarudi jukwaani kuimba na wenzake?

    Poleni kwa msiba. Naangalia shughuli ya msiba wa Lowassa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani. Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani...
  5. Hiki ni kitu muhimu ambacho nimejifunza toka kwa Edward Lowassa

    He was a real man ambaye alipitia Jando la miaka yetu ile. Alikuwa na kifua kipana. Alikuwa na moyo imara. Alikuwa mstaarabu sana. Lowasa alitendwa vibaya na mtu ambaye yeye ndiye aliyemjenga pale madarakani. Lowasa alikuwa na mengi moyoni kuhusiana na mambo mengi ambayo yalifanywa na kikwete...
  6. Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa. Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
  7. J

    CHADEMA hamjamtendea haki Mzee Lowassa

    CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga mahekaru Yao na kuishi kifalme huku Chama kikibaki mifupa Mitupu. Sikutegemea hata kidogo Kuona...
  8. Lowasa aliuchukia Umaskini na hakuwahi kujivunia nao hadharani.

    Kwema Wakuu! Tofauti na viongozi wengine walio/wanaojivunia Umaskini kwenye majukwaa. Kwa kusema oooh! Mimi mtoto wa maskini, mara ooh! Nimelelewa katika mazingira magumu. Ili wapate huruma au ushawishi kwa watu. Kwa Lowasa hali ilikuwa tofauti kabisa. Mara kwa mara alitamka hadharani kuwa...
  9. TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  10. R

    Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

    Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa...
  11. Viongozi mnaosimamia elimu tumienzi Lowasa tukijiuliza yeye aliwezaje kwenye elimu nyie mnashindwaje kwenye elimu

    Kifo cha lowasa kimeibua mijadala ya mazuri yake na mabaya yake katika safari yake ya maisha katika siasa zake, uzuri wa siye wabantu marehemu asemwi kwa mabaya ni mwiko marehemu anasemwa kwa mazuri tu hata kama mabaya yapo basi mnatasemea gizani Kuna jambo zuri kuhusu marehemu linasemwa la...
  12. S

    Je, CHADEMA wataahirisha maandamano kufuatia kifo cha Edward Lowassa?

    Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
  13. Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia Katika mwaka...
  14. Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  15. 2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
  16. L

    Mzee Lowasa yupo wapi?

    Nimemkumbuka sana Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa. Naombaeni kujuzwa Kwa anayefahamu alipo na anafanya nini Kwa sasa.....
  17. R

    Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  18. Kumbukizi: Kauli ya Nape kwa Mzee Lowassa

    CCM na Nape hawajawahi kuwa na akili. Nape alimtukana Lowassa, Slaa na hata Rais Magufuli. Hana haja ya kuwapangia wapinzani waseme nini.
  19. Lowasa, huu ndiyo ungekuwa Uraisi wake, hii ni version yake!

    Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na...
  20. R

    Edward Lowasa aliandaa vijana makini. Hussein Bashe ni mmoja wapo, yupo focused na mawazo ya kitajiri

    Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza kurithi yale tuliyoanzisha huko nyuma. Vision aliyonayo Bashe inapaswa kwenda kuwafungua macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…