Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu aliwaonyesha mlivyo na Tamaa na akaamua kuwadhalilisha.
Mmerudi kwenye NEEMA na mnaendelea kuwaongelesha...
Wana JF
Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowassa(waziri mkuu...
Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake.
Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana.
Huu usemi wa hujafa...
Wakuu,
Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
========
UPDATE:
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo.
Taarifa kutoka kwa...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA.
Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa,
Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo wa maisha mbele za watu, kwani kuna wengine elimu wanaiona kama imefunga maisha yao laivu.
Mtu...
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM.
Baada yakuingia JPM akabadilika na mwisho akaingia kwenye meza yamazungumzo na kuomba radhi Jambo...
Wana JF
Ukisikia mchawi mpe sifa zake. Hili la Nyerere na Lowassa ni watu walioona mbali, kama si Nyerere kuanzisha UPE Taifa hili lilikuwa lizalishe wajinga wengi kwani idadi ya watu ilizidi kuoongezeka sana wakati ujenzi wa shule za primary zikiwa kidogo sana kukabiliana na idadi ya watu...
Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala...
Ndugu Watanzania wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kutupa uzima na kuiona siku hii ya leo.
Kwa kifupi sana, naamini jana wote tulijionea hali halisi ya uzinduzi wa kampeni za CHADEMA, na hii imetudhihirisha kuwa mzee Lowassa ilikuwa namba nyingine kabisa, na hatakuja...
Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha
Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za CHADEMA Chadema people's power...
TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE.
Na, Robert Heriel.
Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...
Bila kupoteza muda
1. Lowassa alikuwa delusional, nikimaanisha alikuwa anaamini atachukua nchi asubuhi na mapema hii ni kwa sababu alikuwa na "marafiki" kila sehemu.
Lissu yeye kwa maneno yake anaamini kinyume chake kwamba Uchaguzi utakua mgumu, usio huru na haki hivyo ni lazima wajipange.
2...
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake
Uongozi...
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu na asiyeweza kujifunza kutokana na makosa yaliyopita mathalan hawezi kujifunza lolote huko mbeleni. Misemo hii si ya kuipuuzia hasa katika mwenendo wetu wa siasa wa awamu hii.
Nimemsikia Zitto akimsafisha Membe na kumtofautisha na Lowassa na kuwahakikishia...
Viongozi wengi wa Urais hasa wa Ki Afrika tamaa yao kubwa ni kuona wanapata madaraka makubwa kwa kipindi kifupi cha lala salama kabla ya uchaguzi pasipo kuyaishi maisha ya wananchi wanaotaka kuwaongoza.
Kipindi hiki cha uchaguzi tutashuhudia viongozi wengi wakipitapita mitaani, wengine...
Kuna usemi mmoja kwenye Biblia unasema
Mathayo 5:23-24
“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako."
Lowasa aliendekeza ugomvi na...