TATIZO kubwa la uhaba wa umeme ndilo ambalo kwa kipindi kirefu limekuwa likiiumiza kichwa Serikali na kuathiri vibaya sekta ya uchumi na kudhoofisha sekta nyingine za kimaendeleo nchini.
Kwa asilimia kubwa tatizo hili linatokana na taifa kutegemea kupata nishati hiyo kutoka kwenye vyanzo...
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.
Chanzo: Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.