lowassa na richmond

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Edward Lowassa umeondoka bila kufumbua fumbo la Richmond

    Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha safari yake ya dunia bila kufumbua fumbo hilo mbele ya umma. Kwa nini Lowassa hakuwahi kufikishwa...
  2. Mmawia

    Mzee Lowassa hawezi kusahau kipindi hiki cha Richmond

    Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu. Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm. Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa...
  3. TataMadiba

    Said Kubenea: Mkataba Wa Richmond Ulisainiwa Na Lowassa Kikwete Akiwa Nje Ya Nchi

    Aidha Mkataba huo haukujadiliwa na Kikao cha Makatibu Wakuu ambacho kinaongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi wala kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho mwenyekiti wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Makala ya Saidi Kubenea kupitia gazeti lake la Mwanahalisi, alisema Waziri...
  4. mgt software

    Lowassa aliyekataliwa akimnadi Sioi atakubalika na Mzimu wake wa Richmond kwenye Urais?

    Ni wiki mbili sasa tangu Mbunge wa Monduli atawanye ubwabwa na Nyama lundo kwa wale anaowasema kuwa ni Rafiki wake, au Mashabiki wake, wakiwemo wenye viti wa mikoa na wilaya, hata baadhi ya mawaziri, na akaamua kutoa yaliyo moyoni, kwa kujinadi kuwa ni Rais au Mngombea Urais mtarajiwa, bila...
  5. Meitinyiku L. Robinson

    Edward Lowassa Richmond kuibuliwa 2008 kama si mapenzi ya Mungu Israel na aseme

    Binafsi niungane na wale wasemao kila jambo linapotokea kuna sababu. Zaidi ya hili kuna wasemao apangalo Mungu mwanadamu hawezi kulipangua. Nasema haya kwa moyo wa dhati kabisa baada ya kukaa na kufikiri dhoruba aliyoipata Mhe. Edward Lowassa mwaka 2008 jambo ambalo wahuni wachache waliamua...
  6. Mikael Aweda

    Malipo ya downs/richmond, kati ya JK na Lowasa nani anatudai?

    Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai hayo ndani ya NEC. Kwa kuwa JK alidai kuwa hajui Richmond/Downs, na Kwa kuwa mtoa taarifa za ukweli Dr...
  7. KING COBRA

    Kama JK ni Rafiki Mkubwa wa Lowassa ni Nani anaweza kuwatenganisha sakata la Richmond????

    Lowassa alipata kusema yeye Mwenyewe kuwa Kikwete ni Rafiki yake Mkubwa na hawakukutana Barabarani sasa sisi tunajua kabla ya Lowassa kusema kuwa Suala la Richmondi Walikuwa pamoja!! Nani asiyehua kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa anampa maelekezo Lowassa ?? Hapa wote Hao Marafiki hawana...
  8. palalisote

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Lowassa amekana rasmi kuwa yeye hahusiki na mkataba wa Richmond! Nanukuu: Mwisho wa kunukuu Hii leo si sahihi hata yeye (Lowassa) kuhukumiwa kwa kuzingatia kile kinachodaiwa kuwa ni mtizamo wa umma dhidi yake unaompa sura ya ufisadi, jambo ambalo amedai kwamba siyo la kweli. Chanzo...
  9. BAK

    Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa

    Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa Na Jacob Daffi - Imechapwa 02 November 2011 VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kunganganiwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo, MwanaHALISI limeelezwa...
  10. Invisible

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Wakuu, Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea alichoongea. Nita-update 1st post kulingana na atakavyokuwa anaongea. Shukrani * Soma updates hizi...
  11. Yericko Nyerere

    Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    Nikiwa kama mtanzania ninaetafakari juu ya hali ya siasa tz, ninasimama ktk ukweli kusema zaidi ya Richmond hakuna ruhwa yenye mashiko ya kumuhukumu roho ya paka Lowasa! Mwenye ushahidi wa ufisadi mwingine wa Lowasa auweke hapa! Kama si zaidi ya propaganda za wapinzani wake kisiasa! Soma Uzi...
  12. I

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni zina special working relationship na governments worldwide. This is because Power/Enegy sector is a...
Back
Top Bottom