lowassa

Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete. Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania. Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Mpembenwe (Lowassa) imparted composure stare in tribulations!

    He imparted composure stare in tribulations! Late Edward Ngoyai Lowassa (70), retired Prime Minister of Tanzania passed away peacefully on February 10th, 2024, with his affectionate family by his bedside. His departure is completely unwelcomed, and we are deeply saddened! Born in 1953 at...
  2. T

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  3. Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

    Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini; Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya; Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja; Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya...
  4. Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  5. T

    Pumzika kwa Amani Edward Ngoyai Lowassa

    Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia Tanzania imempoteza kiongozi shujaa,mzalendo wa kweli,mchapa kazi ,mcha Mungu na kiongozi jasiri na asiyependa...
  6. Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  7. Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa alichokuwa nacho mzee wake ni 'Loyalty' akiita kama 'kufa na mtu wako' kwani katika historia yake ya...
  8. S

    Siri ya kinachoitwa usaliti wa Kikwete kwa Lowassa

    Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza...
  9. Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  10. Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta. Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima...
  11. Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

    Wakati wa kutoa neno la shukrani, wanafamilia wawili wa Hayati Lowassa ambao ni Richard last born na Fredrick first born walisimama kutoa shukrani zao kwa waliohusika kushikamana na familia kuanzia ugonjwa hadi kukamilisha shughuli za mazishi ya mpendwa wao. Katika neno la shukrani...
  12. J

    Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

    Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
  13. Huu ukaaji kwenye msiba wa Lowassa umepangwa kwa kuzingatia nini?

    Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa. MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo...
  14. Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

    Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu. Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile...
  15. F

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  16. Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  17. Tundu Lissu: Mama Lowassa ni mwalimu wangu miaka 41 iliyopita

    Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita. Tundu Lissu amesisitiza ukimtoa Mwalimu Nyerere kwa ushawishi anayefuata ni Edward Lowassa kwa ushawishi, hivyo Taifa...
  18. Aliyepigwa ngumi akiomboleza msiba wa Lowassa kutua Monduli

    Jina lake halisi ni Benedict Michael Mwakanyamale, lakini wengi katika Jiji la Arusha hasa eneo la Mbauda wanapenda kumuita Chuma. Huyu ndiye muombolezaji aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi ya uso na mmoja wa watu walionekana kama ni walinzi waliokuwa wakilinda msafara uliobeba mwili wa Waziri...
  19. Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu. Tuliokuwepo...
  20. Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…