Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.
Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha...