luaha

Lalramluaha Hmar (born 18 August 1990 in Aizawl, Mizoram) is an Indian footballer.

View More On Wikipedia.org
  1. Abbas Kinzasa; nyota iliyochomoza mchana wa jua kali

    Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20% Binafsi, nilimfahamu kupitia kipindi cha redio ya Maajabu ama iite Magic FM, kijulikanacho kama BAMIZA...
  2. Afande Sele na O-Ten walikuwa na story moja?

    KWENYE "MKUU WA MKOA" O TEN anasikika akisema; " Nakaa na mama wa kambo, sikufahamu CHOCHOTE Kumbe si mama mzazi, sikutambua LOLOTE ETI MAMA'NGU ALINITOSA, MOLA AKANIONGOZA..." "TOKA NINA MWAKA MMOJA NILITOSWA NA MAMA" Kwenye"MIMI" O TEN anasikika kwa mara nyingine akisema "KAMA NI KUFA...
  3. Dhana zinazowachanganya wengi kwenye muziki wa rap

    Ni rahisi kuziita common confused terminologies ambapo wapo wanaojua tofauti kati yao na huzichanganya kimazoea lakini wapo wanaotumia dhana hizi kwa kuzichanganya pasipo kujua tofauti zao. Hawa wanaweza kuitwa ignorant au blind followers. Nimeandaa dhana nane ambazo nimezielezea kwa ufupi. Kwa...
  4. Ulisoma Mwakaleli 2009 - 2012, unamkumbuka Lyatuu?

    MAPICHA YANGU... THE RAP MONSTER, LYATUU Ee bwana weee! Huyu niliye naye pichani alikuwa bonge la mtu kwenye rap na mwonekano wake. Picha linaanza, jamaa ni mtu wa chuga, rudi nyuma mpaka kwa Fido kwenye SISI HAPA, anakwambia, "SISI HAPA ND'O HIP HOP CITY" Yes, kuna time nilitamani na mimi...
  5. Mrembo gani katika hawa alitupatia ngoma kali zaidi

    MREMBO GANI AMETUPATIA NGOMA KALI ZAIDI???? Orodha hii inakuletea warembo watano waliosumbua akili za wasanii wa Bongo fleva mpaka wakawaandikia nyimbo. 1. CHRISTINA MANONGI "SINTA" Juma Nature alizama hapa na kutengeneza celebrity couple ya awali kabisa na pengine bora zaidi kwenye kiwanda...
  6. Tano kali kutoka kwa Papa Love

    SUPA 5 FROM PAPA LOVE MAWINGU RECORDS ni nyumba ya heshima ambayo ilisanifiwa vyema na Boniphace Kilosa, mchonga njia wa muziki huu. Kagusa mikono mingi sana lakini kwa upande wangu, hii mikono mitano inanifanya nitamani sana kusikia kazi nyingine mpya kutoka kwake. Ukweli unaoshangaza ni...
  7. Kumi-kumi za wateule (muziki uliokomaa, muziki ulioenda shule)

    Mbali na namba yao kuwa na members saba lakini WANNE ndiyo wamesikika zaidi na nitawalezea kinamba, kwa namna ninavyowakubali; A. KUMI ZA JUMA MOHAMMED MCHOPANGA (MBAKIAJI, X MAN, BISHOO, LYRICIST, FAMOUS, MO JIZZE, SUPER MAN) 1. MVUA NA JUA 2. MAISHA YA BOARDING FT DULLY 3. MSHAMBA FT NATURE...
  8. Utatu wa G Records: Kazi za Roy Bukuku, G2 na KGT katika studio ya G Records

    UTATU WA G RECORDS DJ Gulu Ramadhan Nnanji " G LOVER" alifungua studio yake, G RECORDS na kumpatia mikoba yote ya production, Roy Bukuku. Kazi nyingi zilipikwa pale huku utambulisho wa kazi alizozitengeneza Roy ukiwa ni uzito wa midundo yake. Mara kukawa na G2 (G mbili au G Square), kisha...
  9. Tuchukue lipi, tuliache lipi - Enzi za Utoto, Songa

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI ENZI ZA UTOTO - SONGA NIKIRI wazi kuwa miongoni mwa "madundo" ya maana kabisa aliyoyasuka DUKE ambayo sikuyataja kwenye orodha yangu, basi hili limo pia. Turudi kwenye ngoma hii, "SEBULE DISKO, JIRUSHE KWENYE MAKOCHI" 00;44 "TENA BEKI TATU ALIVYO MNOKO UKIFANYA...
  10. Mpaka mechi inaisha hajagusa hata mpira, Dollo alimaanisha nini?

    NI SANAA AU UTELEZI? Anajulikana kama DOLLO MOSSES TMK HALISI. Nilimfahamu toka enzi za Radhia, Inahitaji roho ya chuma kuishi na watu vizuri na ngoma nyingine za Wachuja Nafaka na TMK WANAUME. Sasa baada ya TMK kumeguka mapande mawili makuu, Nature akajitoa na kuunda TMK WANAUME HALISI huku...
  11. Je, D Knob alimaanisha nini?

    NDANI YA MISTARI BAD MAN - D KNOB FT CANNIBAL Mtumishi wa Bwana, Innocent Sahani aka kinundu kichafu "Dirty Knob" kwa kifupi D KNOB akiwa na Mla nyama kutoka Mombasani waliangusha dude hili lililoishika Afrika Mashariki lakini kuna mstari mmoja umenifanya niwashirikishe; D anaifungua stanza ya...
  12. Jingles kali na matangazo makali ya miaka hiyo

    JINGLES KALI NA MATANGAZO MAKALI KABISA YA MIAKA HIYO 1. WEEKEND FEVER - RADIO FREE AFRICA- JAY MOE Ni weekend fever Jumamosi naisikiliza 2. BAMIZA - MAGIC FM - NGWEA Magic Fm tuko juu, sisi tunabamizaaaa Tumeanza wakalisha way back, siyo tu mwaka huu, sisi tunabamiza Mwaka huu, Bamizaaaa...
  13. Ezden 'the Rocka' aliitendea wema mwingi HipHop Bongo

    THE BEST RADIO PRESENTER EZDEN JUMANNE " EZDEN THE ROCKA" KISS COLLABO MIX SHOW KISS FM SAHARA MEDIA *** Mbali na Ezden, wafuatao ni watangazaji wa Tv na radio na Djs TOFAUTI waliopita kwenye game katika NYAKATI TOFAUTI, Nani alikukosha, na Nani amekosekana kwenye...
  14. Unamkumbuka 'Man Walter'

    Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS. Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini kwa ukubwa zaidi, nilimfahamia kwenye midundo aliyomtengenezea ndugu yake, Nemo Mpute hapo ndipo...
  15. Kali kutoka AM Records

    KALI KUTOKA AM RECORDS Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS; 1. NIMEDATA - JUX 2. NAPATA RAHA- JUX 3. NITASUBIRI - JUX 4. UTANIUA - JUX 5. SISIKII - JUX 6. UZURI WAKO - JUX 7. NIWE NAWE - JUX 8. UZURI WAKO- JUX 9. NIKUITE NANI- JUX 10...
  16. B Hits ilitubariki vya kutosha

    B HITS ILITUBARIKI VYA KUTOSHA Hermy B alikuwa akifanya kazi redioni lakini akawa anajiiba humohumo baada ya vipindi kuisha na kurekodi kazi binafsi mpaka aliposimamisha studio yake na kutambulika. Hermy alianza kufahamika zaidi kwa mikwaju aliyofanya na MANSU LEE (KINA KIREFU NA SURA YA...
  17. Sugu,Proffesor Jay, Mwana FA - Maisha, Hip Hop na Siasa

    Peace and Much Love Family, Karibu kwenye hii Deep Study juu ya majabali watatu wabobezi kabisa wa taaluma Ijulikanayo kama Emceein inayopatikana ndani ya Utamaduni wa Hip Hop. Lengo kuu la makala hii ni kuongeza uelewa juu ya Utamaduni wa Hip Hop kwa kupitia ushiriki wa watu hawa watatu...
  18. Mikwaju 50 kutoka kwa Dunga

    MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS. Lakini pia aliwahi KUPITA PINNACLE PRODUCTION, kote huko alikopita hakusahau kuweka sign tune yake ya...
  19. Lyrical and naturally gifted African (Langa) Mengisani Kileo

    RAFIKI WA KWELI; LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN (LANGA) MENGISENI KILEO 1. "HAKUNA MC ANAYENISHINDA KWA HIP HOP " 2. " HIP HOP NI UKWELI NA UWAZI, KUKU KAPANDA BAISKELI HAIKUSHANGAZI" 3. "HIP HOP ND'O MAISHA ASIJE MTU KUBABAISHA" 4. " USISUBIRI MPAKA NIFE ND'O UKUBALI I'M THE BEST" 5. "...
  20. Tutayamaliza yote kumhusu Albert Mangwair au tutayataja machache na kuyasahau mengi?

    TUTAYAMALIZA YOTE KUMHUSU AU TUTAYATAJA MACHACHE NA KUYASAHAU MENGI? 1. Kutokana na wimbo wake wa GHETTO LANGU, vijana wakaziita nyumba au vyumba walivyopanga kwa jina la NGWEA. Ilikuwa kawaida na (wengine wamekuwa wakiendelea kusema) "nipo ngwea" wakimaanisha wapo ghetto. Albert ameacha alama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…