Lucas Mhomba ambaye amekatwa miguu na viganga vyote viwili (kushoto) na kulia ni awali akiwa na viungo vyote.
Oktoba 14, 2023 haitasahaulika katika maisha ya Lucas Mhomba, mkazi wa Dumila wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Alivamiwa na watu wasiojulikana akajikuta akipoteza miguu yote miwili...