Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.
Nini...