lucia

Lucia is both a feminine given name and a surname. It comes from the Latin word Lux meaning 'light'. It is the feminine form of the Roman praenomen Lucius and can be alternatively spelled as Lucy. It is used in French (Lucie), Romanian, Italian, Spanish (Lucía), Portuguese (Lúcia), English, and Slavic languages.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
  2. Je, ni kweli tambi za Santa Lucia zimebadilishwa jina?

    Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila. Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  3. The Miracle Of The Sun/Muujiza Wa Jua - 13 October 1917

    Tarehe 17 October 1917, maelfu ya watu takriban watu 70,000, walishuhudia jua likifanya kitu kisicho cha kawaida, waliweza kuliangalia kwa takriban dakika 15 bila kuumia macho, waliokua wanaliona walisema lilikua linatoa mwanga kwa rangi tofauti tofauti, pia lilionekana kama linazunguka, huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…