Huyu ni Mtawa wa Kifaransa, Lucile Randon. Ana umri wa miaka 118 na ndiye mtu mzee zaidi ulimwenguni. Alizaliwa tarehe 11.02.1904.
Marafiki zake wote, na jamaa aliowajua wameshakufa. Yeye ni kipofu na anatembelea kiti cha magurudumu.
Kwa sababu ni mtawa, hivyo hana watoto wala wajukuu. Mnamo...