Nilipita pale Lugalo kambini nikitokea Tanga, nilishangaa kuona kibao kinasoma "UGALO RACKS" badala ya "LUGALO BARRACKS" Naomba wahusika wafanyie kazi.
Hata kile chuma cha kuonyesha eneo la kambi, kilichopo karibu na kituo cha daladala, kimepata kutu, rangi ime futika pamoja na maandishi yake.