Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari!
Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena.
Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...