ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 365 ZIMEKOPESHWA KWA WANAFASIHI NA LUGHA
Mfuko wa uwezeshaji wa mikopo ya kisekta kupitia mfuko wa Utamaduni na Sanaa umewezesha miradi 23 yenye thamani ya Shilingi milioni 365.7 katika eneo la Lugha na Fasihi ambapo miradi iliyowezeshwa ni uchapishaji wa vitabu 6,000...
Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
Poleni na mfungo wakuu,
👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa
👉Na pia ni emotional oriented "
👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit
Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze
👉Aya tutiririke...
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema.
Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
Sababu kuu zinazofanya mataifa mengi ya Afrika kuwa na hofu au kukosa ari ya kubadilisha maarifa na elimu zao katika lugha za asili ni mchanganyiko wa sababu za kihistoria, kitamaduni, kiuchumi, na kimaadili. Hapa chini ni baadhi ya sababu kuu:
1. Urithi wa Ukoloni na Lugha za Kigeni
Madaraka...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy).
Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
Habari wanaJF,
Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu.
Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu ukafanya kazi kwa mifumo ya sauti na maandishi
Namna ya watu kutamka maneno pia kuyaandika.
Mfano mtu...
Wakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili
Waasi wanatumia kiswahili
Wa DR Congo wanatumia kiswahili
Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili.
Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Ikiwa imemzidi...
Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla?
Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari.
Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe.
=====
Kwa hisani ya Braza Kede
Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ulivyojikadiria.
Mwisho wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.