Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala inayoitaja Tanzania kama moja ya nchi 25 ambazo Kiarabu ni official language. Nchi hizo ni Saudi...