Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.
Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.
Tuchangamke wabongo.
Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekiri kuwa msingi dhaifu wa mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa sekondari nchini umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo mabaya ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024.
Nataka nikujuze kuwa serikali sikivu na utendaji. Imeanzisha shule za msingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia na hata wanafunzi wake wanazungumza kiingereza bila kubabaika.
Aloo. Tembelea siku moja shule hizi au mpeleke mwanao ukafaidi matunda ya nchi yako.
Je, unazijua ENGLISH...
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza?
Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media.
Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Hingera akiwa anaongea leo kuhusu vibali vya kuuza mahindi nje ya nchi nikitaka nimeona aibu mimi.
Amesema eti hivyo vibali ni Null and valid" badala ya kusem Null and void.
My Take: Kinachowaangusha Watanzania ni Lugha ya Kingereza.
=======
First Batch of Kenyan Teachers Exported to the US
The Kenyan Government on Saturday flagged off the first batch of teachers who had secured job opportunities in the United States.
This followed a policy and regulatory...
Tanzania tuitakayo lazima iwe na raia walio wengi Kwa ulimwengu wa sasa ambao angalau wawe na uwezo wa kutumia lugha za kimataifa angalau hata lugha moja ambayo itawawezesha kujiimarisha kiuchumi(Biashara za kimataifa), kisiasa (kitaifa na kimataifa), Sayansi na tekinoogia ( ambayo sasa Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.