Habari!
Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu.
Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini?
Na hii Hali ni nzuri kweli?
Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au...
Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 4...
Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi.
Waziri Nape anamdhalilisha sana mhe rais kwa tabia yake ya kutukana watu mitandaoni. Yeye kama waziri wa Habari na Mawasiliano alipaswa kuwa mfano mwema wa matumizi mazuri na salama ya mitandao. Lkn Nape mara nyingi amekuwa...