Mabadilishano ya kirafiki kati ya China nan chi za Afrika, amayo yamedumu kwa muda mrefu, yameongezeka zaidi katika miaka ya karibuni, na kuhusisha Nyanja mbalimbali ikiwemo siasa, uchumi na utamaduni. Mradi wa televisheni za setilaiti kwa vijiji 10,000 barani Afrika unaotekelezwa na China...
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.