Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana..
Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na Kujitambulisha kwa wenyeji ikiwamo Mwenyekiti wa KIJIJI, Balozi wa Nyumba Kumi ili ufahamike,,
Sasa pitia...
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.