Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina.
Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...