lugha

  1. Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  2. Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  3. M

    Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  4. Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  5. L

    Kukumbatia lugha yako ni hatua ya kwanza ya kujiamini kitamaduni

    Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema “Maandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi kubwa katika kuunda na kuendeleza taifa la China." Yakiwa magofu ya kwanza ya mji mkuu katika...
  6. Kujenga umoja wa kitaifa kunatugharimu kupoteza lugha zetu za makabila yetu. Nini kifanyike?

    Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa. Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
  7. Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  8. Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto. Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William...
  9. Tuchague lugha moja ya kimataifa ili tuweze kwenda sawa na wenzetu

    Habari Wana Jamvi, Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza. Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni...
  10. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  11. SoC02 Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika

    Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini? Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
  12. SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  13. Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

    Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu. Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa. Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
  14. Mlete mzungu lugha yenye viashiria vya kibaguzi

    Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi. Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake . Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone. TFF Toeni neno tunakoelekea siko, kwa nini ni mzungu tu na lugha za kukebei. Kwani hakuna wachezaji wengine wa Simba...
  15. S

    SoC02 Usanidi wa programu ya lugha ya Kiswahili

    Habari wana Jamii Forum. Naitwa Suzana, fani yangu ni uandishi wa habari mbali na hilo, ni mtunzi wa kazi za fasihi na zisizo za kifasihi. Moja kati ya changamoto zinazonikumba ni suala la kupata wahariri wazuri wa kuhariri kazi zangu kabla ya kuzisambaza kwa watumiaji. Wataalamu wa kazi ya...
  16. Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  17. SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
  18. S

    Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

    Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa. Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
  19. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  20. Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…